Blogroll

Wednesday, 3 October 2018

NJIA 14 BORA ZA ASILI ZA KUONDOA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI


Nguvu Za Kiume Ni Nini?

Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa.

Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo liwe limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.

Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’.

Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine.

Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Nguvu za kiume pia siyo idadi ya mabao. Hilo ni mhimu kwanza ulielewe. Unaweza kwenda mabao hata manne na bado ukaonekana huna nguvu za kiume. Nguvu za kiume ni muda gani umetumia kubaki hapo mchezoni ndiyo jambo la mhimu.

Kama unafika mpaka magoli manne na kila goli unatumia dakika 3 au 4 kufika kileleni basi tunaweza kusema wewe huna nguvu za kiume.

Ila kama utaweza kwenda goli moja tu na likachukua dakika 10 au 15 au 20 hivi na kuendelea hakika tunasema wewe una nguvu za kiume. Tunaamini muda huo umetosha kuweza kumfikisha mwenza wako kileleni.

Mwanaume pia utahitaji kujua dalili au ishara za mwanamke anapofika kileleleni. Bila kujua dalili au ishara za mwanamke anayefika kileleleni kazi bure.

Kufahamu dalili na ishara za mwanamke anayefika kileleni bonyeza hapa.

Kumbuka pia tendo la ndoa siyo ugomvi. Wapo baadhi ya wanaume wanadhani ili umfikishe mwanamke basi unatakiwa umfanye kwa nguvu au kwa fujo sana utadhani ni ugomvi fulani hivi!, mapenzi siyo hivyo. Ndiyo hutakiwi ufanye kilegelege sana lakini pia huhitaji kufanya kwa nguvu kama vile ni ugomvi!

Tatizo ni hizo video feki mnazotazama mnadhani mapenzi ndiyo huwa hivyo jambo ambalo si kweli. Kila mwaka wasichana na wanawake wengi hutekwa na watu wasiojulikana sehemu mbalimbali duniani na baadhi yao hufanyiwa vitendo vya kikatili ikiwemo vya kingono na hurekodiwa.

Sasa wewe unapoangalia picha kama hizo unadhani mapenzi ndiyo hufanywa hivyo kumbe si kweli.

Kuna wanaume wakianza kazi hiyo ni kama vile mashine inakoboa mahindi yaani ni ugomvi mwanamke anabaki akiumia tu na kama hajuwi naye anabaki kuumia tu hata siku nyingine ukimhitaji atakataa kwa visingizio  vingi sababu unamuumiza bila wewe kujua.

Pole pole, kwa nguvu kidogo inapochanganya lakini siyo kwa fujo kama vile ugomvi. Umeipata hiyo bila shaka kazi inabaki kuwa kwako!.

Kumbuka mwanaume lazima utafika kileleni hata iweje, hivyo ni jukumu lako kuhakikisha kabla hujawa na uwezo tena wa kuendelea na tendo la ndoa uwe umeona na una uhakika mke wako naye amefika kileleleni.

Hivyo nguvu za kiume siyo idadi ya mabao, ni muda unaotumia kubaki hapo kifuani ndiyo mhimu na si idadi ya mabao.

Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

Sababu za Wanaume kuishiwa nguvu za kiume:

Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.

Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka sababu ya umri. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wa umri kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hili zaidi kuliko wanaume wenye umri wa miaka 41 Kushuka chini.

Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili.

Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo.

Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana.
Kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza pia kuwa kumetokana na mambo ya kihisia, kwa kiingereza ‘emotional causes’. Vitu vingine vinavyoweza kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume ni pamoja na magonjwa kama vile ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la juu la damu.

Asilimia 51 mpaka 61 ya wanaume wanaosumbuliwa na kisukari wanapatwa na tatizo la uume kushindwa kusimama vizuri. Kadharika wagonjwa wa kiharusi na wale waliotekwa na ulevi nao ni miongoni mwa watu wanaoweza kupatwa kirahisi na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Walevi wengi wa pombe kwa mfano wanakabiliwa na tatizo la uzalishaji mchache wa mbegu za kiume (manii).

Wengine wenye hatari ya kupatwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni pamoja na wanaume wenye shinikizo la juu la damu, wenye matatizo ya tezi, waliowahi kufanya upasuaji katika viungo vya uzazi wakabaki na majeraha, watu wanaotumia dawa zenye kemikali kiholela bila kushauriwa na wataalamu na wale wanaougua maradhi yanayodhoofisha msukumo wa damu kwenda katika mishipa ya uume.

Pamoja na hayo, tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kutibika kwa watu wa rika zote.

Kabla dakatari hajaanza kukutibu tatizo kupungukiwa nguvu za kiume, atataka kujuwa:

Umri wako
Utendaji wa tendo la ndoa kabla na baada ya kuugua
Afya yako kwa ujumla
Matatizo katika ndoa ikiwa kuna ugomvi wowote n.k
Nini sababu ya wewe kutaka kupona
Kuwa na mtaalamu mzuri ni njia ya kwanza katika kupata uponyaji sahihi. Ni mhimu wewe kujisikia vizuri na kuwa na imani na daktari wako. Kwa kufanya hivi utakuwa umepiga hatua nzuri kelekea kwenye ufumbuzi wa tatizo lako.

Nini Sababu ya uume kushindwa kusimama?

Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na mwenza wake.

Pamoja na ukweli kuwa mara zote Mwanaume lazima atafika kileleni, hali huweza kuwa tofauti kwa upande wa pili kwani mwanamke anahitaji mwanaume akawie zaidi ili na yeye (mwanamke) aweze kutosheka.

Mkeo hupendelea ukawie na ikiwezekana ukawie zaidi. Kama utakuwa unawahi kumaliza, basi mkeo anakuwa hapati raha kamili.

Hata hivyo tambua pia kuchelewa sana kufika kileleni inaweza kuwa kero kwa mwenza wako. Kwa kawaida wanawake wengi wanaweza kufika kileleni kuanzia dakika ya 8 kwenda juu tangu tendo la ndoa lianze.

Muda mzuri wa kutumia katika kushiriki tendo la ndoa bila kuleta kero zingine ni kati ya dakika 15 mpaka dakika 30 hivi. Ikiwa mwanaume ataendelea bila kufika kileleni hata baada ya dakika 35 au 40 na zaidi basi hiyo sasa ni kero na si tendo la ndoa tena.

Ingawa, kama una tatizo la kuwahi kufika kileleni hauko peke yako. Asilimia 30 hadi 40 ya wanaume wa rika zote wanakabiliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni au kupungukiwa kwa nguvu za kiume.

Hata hivyo kutambuwa tu kwamba wanaume wengine pia wana tatizo kama lako siyo sababu ya wewe kukaa tu bila kutafuta suluhisho la tatizo lako.

Habari njema ni kuwa zipo njia zinazoweza kuleta matokeo mazuri na hatimaye kulimaliza tatizo hili bila madhara mabaya hapo baadaye.

Wakati mwingine uume kushindwa kusimama inaweza kuwa si tatizo, lakiini jambo hilo linapojitokeza kila mara na kwa kipindi kirefu inaweza kuleta msongo wa mawazo kwa mume na hata kwa mke.

Sababu nyingine ambazo zinaweza kupelekea uume usisimame vizuri ni pamoja na matatizo ya mhemko kama;

Wasiwasi
Hasira
Msongo wa mawazo (Stress)
Huzuni
Hofu na mashaka
Kukosa hamu ya tendo la ndoa n.k
Ili uume usimame vizuri ni lazima:

Mfumo wako wa neva uwe  na afya nzuri inayopelekea mpwito neva (nerve impulses) katika ubongo, uti wa mgongo na uume.
Mishipa ya ateri iliyo na afya ya ndani na iliyo karibu na corpora cavernosa
Misuli laini yenye afya na tishu za ufumwele (fibrous tissues) ndani ya corpora cavernosa
Kiwango sahihi cha oksidi nitriki (nitric oxide) ndani ya uume.
Uume kushindwa kusimama vizuri kunaweza kusababishwa pia kama kipengele kimojawapo hapo juu hakifanyi kazi vizuri.

Mambo mengine yanayopelekea kupunguwa kwa nguvu za kiume, uume kushindwa kusimama vizuri na kuwahi kufika kileleni ni:

Uzee
Kisukari
Kujichua/Punyeto
Uzinzi
Kukosa Elimu ya vyakula
Kutokujishughulisha na mazoezi
Shinikizo la juu la damu
Ugonjwa wa moyo
Uvutaji sigara/tumbaku
Utumiaji uliozidi wa kafeina
Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo
Madawa ya kulevya
Kupungua kwa homoni ya testerone
Athari kutoka kwa baadhi ya dawa
Pombe
Kutazama picha za X mara kwa mara
Nguvu za kiume na mzunguko wa damu:

Kitu gani husababisha uume usimame?

Unaweza kujibu ni msisimko. Ni kweli, Jibu lako linaweza kuwa sahihi. Hata hivyo msisimko ni matokeo. Kipo kinachosababisha kutokea huo msisimko. Bila hicho, hakuna msisimko unaoweza kutokea.

Kila mwanaume anatakiwa kujuwa jibu sahihi la swali hili ili atakapopatwa na tatizo atambuwe wapi pa kuanzia na pa kuishia. Siyo lazima uwe daktari, Elimu ya kutambua  mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na si kwa madaktari pekee kama watu wengi mnavyodhani.

Kutokusoma soma lolote kuhusu miili yetu inavyofanya kazi ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuparamia dawa kiholela na hivyo kujikuta tunapata madhara zaidi badala ya kujitibu.

Mzunguko wa damu ndicho kitu kinachofanya uume USIMAME. Na kabla hujaendelea kusoma tambua jambo moja mhimu; ‘’Asilimia 94 ya damu ni maji’’. Hii ni kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwa kifupi maji ndiyo kila kitu mwilini, nakushauri upendelee Kunywa maji bila KUSUBIRI KIU.

Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri kama inavyotakiwa na usio na hitilafu yeyote ni kipengele mhimu sana katika afya ya mwili, mishipa na kusimama kwa uume wako.

Kwanini mzunguko wa damu ni mhimu?

Mzunguko wa damu wenye afya bora husambaza damu ya kutosha katika viungo vyote vya mwili ikijumuisha pia damu iliyo katika mishipa ya uume. Hivyo, hata kama utagusana na mwanamke hautaweza kufanya lolote ikiwa damu haizunguki katika viungo vyako kama inavyotakiwa.

Mtazame mtu aliyekufa, damu yake haizunguki, je anaweza kufanya lolote? Hata hivyo huo ni mfano mkubwa sana.

Hii ni kusema kuwa, chochote ambacho kinazuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume. Kama mishipa ya vena na ateri imeziba, mwili wako hautaweza kusimamisha uume vizuri. Hii ni kutokana na kwamba uume hautapata damu ya kutosha.

Mara nyingi vena zilizoziba kutokana na mzunguko dhaifu wa damu ni sababu ya kushindwa kusimama uume kwa wanaume wengi wenye miaka 60 kwenda juu, wanaume wenye kisukari na pia wanaume wenye hali ya kukauka kwa vijiateri vya ateri, na wenye maradhi ya moyo.

Baadhi ya wanaume wanapatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kama matokeo ya kula vyakula vyenye mafuta mengi ambayo yanaweza kuzuia mtiririko mzuri wa damu kwenye uume. Inashauriwa pia kuepuka vinywaji na vyakula ambavyo husindikwa viwandani.

Katika tendo la ndoa kwa mwanaume, mishipa ya damu ya ateri ina nafasi kubwa sana sababu ya kazi yake ya usafirishaji wa damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili, hivyo unashauriwa kujifunza namna ya kutunza ateri za mwili wako ili kuruhusu mtiririko mzuri wa damu mwilini mwako.

Pia ni mhimu sana kuwaona wataalamu wa tiba kuhusu unavyojisikia na jinsi unavyohisi kuwa pengine unaweza kuwa na tatizo katika mishipa yako ya ateri. Jaribu kujiwekea utaratibu wa kujichunguza afya yako mara kwa mara kama utahisi kunyemelewa na tatizo hili.

Baadhi ya watu hufanya maradhi kuwa sugu kwa sababu ya kuacha kujichunguza mara kwa mara hadi wauguwe, huku ni kukosa kuelewa na kushindwa kujithamini na kujipenda mwenyewe.

Jitibu tatizo la kupungua nguvu za kiume

Katika kujitibu tatizo hili jambo la kwanza ni kuelewa ni nini kimesababisha tatizo hilo kwa upande wako.

ISIKUPITE HII>>>>MAMBO MATANO(5) YATAKAYO KUSAIDIA KULINDA MAHUSIANO/NDOA YAKO

Njia za kujitibu tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume:

1. KULA VIZURI NA ULE ZAIDI VYAKULA VYA ASILI 

Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.

2. Acha mawazo
Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye uume na kusababisha nguvu kupungua nguvu za kiume na hata uume wenyewe.

Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko au stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote. Katika hali ya mfadhaiko wa akili utokanao na hali ya kushuka kwa uchumi kwa mfano, wanandoa wanapaswa kuwa ni wenye umoja na kujaliana zaidi, shida ni pale kama mke akili yake ni ndogo kwani badala ya kufunga na kuomba kwa Mungu huenda akaenda kukutangaza kwa majirani!.

Kama una mfadhaiko wa akili (stress) ni vigumu sana wewe kuwa na nguvu za kiume. Hilo haliwezekani. Ili uwe na nguvu za kiume unatakiwa usiwe na mawazo mawazo yoyote. Uwe mtu uliyetulia kimwili, kiakili na kiroho (cool).

Jipekuwe na ujitambuwe ni kitu gani hasa kinakufanya uwe na mawazo mawazo kila mara na ufanye kila uwezalo kukiondoa hicho kinachokuletea stress kwenye maisha yako kila mara.

Stress nyingi kwa wanaume wa KiTanzania zinatokana na ugumu wa maisha, magomvi ya mara kwa mara kwenye mahusiano, magonjwa ambayo hayatibiki nk.

Haijalishi nini chanzo cha mawazo mawazo upande wako, ukiamua hakuna stress isiyo na tiba. Chimba tu inawezekana. Kuwa bize na mazoezi ya viungo kila siku ni namna nzuri ya kuondoa msongo wa mawazo.

Kama stress yako ni matokeo ya maisha magumu basi jipe moyo pia jipe muda hakuna usiku usio na mchana kuna siku tu utatoka kama hutakata tamaa. Pigana na upambane mpaka kieleweke kuna siku utaishi maisha bila stress ya umasikini.

Kuwa karibu na Mungu kila mara. Usiache kutafuta msaada wa kimawazo toka kwa wataalamu au watu wengine wenye uzoefu juu ya hali unayopitia. Pia jikubali na umshukuru Mungu kwa kila jambo. Wakati mwingine unajiona una matatizo sababu hujakutana na wenye matatizo zaidi yako. Kuwa na moyo wa kuridhika kwa mambo madogo Mungu anayokupa. Hata kuamka salama tu ni baraka tosha unahitaji kushukuru Mungu.

3. Jitibu magonjwa yafuatayo
Kama tatizo limesababishwa na magonjwa kama kisukari, vidonda vya tumbo, shinikizo la juu la damu au uzito kupita kiasi ni vema ukajitibu kwanza maradhi haya. Tatizo ni kuwa watu wameaminishwa kwamba maradhi haya hayana dawa jambo ambalo si kweli.

Kisukari, shinikizo la juu la damu, vidonda vya tumbo na hata uzito kupita kiasi ni magonjwa yanayotibika kabisa hasa kwa kutumia dawa mbadala na kufuata muongozo sahihi katika kula na kunywa kwa kipindi cha majuma kadhaa.

4. Acha vilevi

Vilevi

Kama tatizo linatokana na matumizi ya vilevi, hatua ya kwanza ni kuviacha kwanza hivyo vilevi. Ndiyo kuviacha kwanza, unatakiwa ujiulize mwenyewe kipi ni mhimu kwako ndoa yako au hivyo vilevi? Mtu anayejali vilevi kuliko hata afya yake hafai.

Kuna watu wanajidanganya kwamba ukitumia sijuwi kilevi fulani nguvu zinaongezeka, ni kweli zitaongezeka hapo mwanzoni mwa matumizi ya hicho kilevi lakini kadri siku zinavyoenda ndivyo utakavyoendelea kuwa mtegemezi wa hicho kilevi na itafika siku hata hicho kilevi hakitasaidia kitu na hapo ndipo hatari zaidi ya kutotibika tatizo lako itakapojitokeza.

5. Fanya mazoezi ya viungo
Mazoezi ya viungo
Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama.

Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

6. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi
Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kama anavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula majani ya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!. Inawezekana kuna ukweli kidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya wala usije ukasema huyu jamaa anahamasisha watu kufanya mapenzi! Hapana usiwe na haraka hivyo utanielewa tu ninachotaka kusema

Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo wowote wa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula vizuri basi anaweza kushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24.

Angalia na umsome pia mwenza wako pia angalia umri wako, sababu kuna wanawake wengine kwa asili hawapendi kushiriki tendo la ndoa kila mara pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50 atakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi 40 hivi.

Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa miezi 6 bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uwezo wa kuchelewa kufika kileleni.

Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa unapiga punyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako. Kwahiyo unaweza kushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza akili na upate muda wa kutosha wa kuandaana kabla ya tendo na siyo haraka haraka tu (mambo ya short time).

Soma hii pia>>>>>FAIDA SITA(6) ZA KUFANYA MAPENZI KWENYE MAHUSIANO


Dawa Za Asili Zinazoongeza Nguvu Za Kiume
Tumia dawa za asili zifuatazo:

1. Unga wa Msamitu
Msamitu
Unga wa msamitu (mtishamba wa porini) ni mzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia unasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume hasa lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani unaimarisha sana mishipa ya uume.

Pia unaweza kuutumia hata kama unasumbuliwa na tatizo la kisukari. Msamitu unao uwezo mkubwa katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa hata kwa kina mama pia.

Msamitu pia unatibu magonjwa yafuatayo bila shida yoyote; pumu, chango la uzazi, kupooza mwili, unaondoa kabisa gesi tumboni na kuongeza nuru ya macho kuona.

Msamitu unao uwezo pia wa kuongeza ukubwa wa uume wako. Labda utauliza kwa namna gani?, kwa sababu moja ya kazi zake mwilini ni kuponya mwili uliokuwa umepooza, mwili unapokuwa umepooza ina maana hata damu yako pia inakuwa haitiririki vizuri kama inavyotakiwa na mzunguko mzuri wa damu una umhimu katika nguzu za kiume.

Kwa kuwa mwili ulikuwa umepooza, Msamitu unapokuja kukutibu unakufanya kuwa mtu uliyechangamka na damu yako itaanza kuwa inatiririka kwa mtiririko mzuri zaidi na kama matokeo yake utaanza kuona hata ukubwa wa mheshimiwa unaanza kuongezeka kidogo kidogo.

Na hii ni hasa kwa wale ambao walizaliwa na uume wa kawaida lakini sababu ya punyeto, lishe duni au stress walijikuta maumbile yao yanaanza kusinyaa au kupungua badala ya kuongezeka.

2. Mafuta ya habbat soda
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume haraka
Ukiacha uwezo wake katika kuongeza stamina na nguvu kwa wanaume na kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, mafuta haya pia hutumika kutibu tatizo la afya dhaifu la mbegu za kiume na kuongeza wingi wake kwa ujumla (semen count).

Kwa mjibu wa tafiti mbalimbali, mbegu za kiume zinaonekana kuimarika na kuwa nyingi za kutosha baada ya kutumia dawa hii kwa miezi miwili kila siku.

Ndiyo Mlonge ni dawa bora ya nguvu za kiume ambayo hakuna dawa nyingine ya kuifananisha nayo kwa uwezo wake wa kutibu tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kufika kileleni.

Vitu vifuatavyo vinaufanya mlonge kuwa dawa ya nguvu za kiume
Mlonge unatibu tatizo la msongo wa mawazo (stress):
Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye uume na kusababisha nguvu kupungua nguvu za kiume na hata uume wenyewe.

Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko au stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote. Katika hali ya mfadhaiko wa akili utokanao na hali ya kushuka kwa uchumi kwa mfano, wanandoa wanapaswa kuwa ni wenye umoja na kujaliana zaidi, shida ni pale kama mke akili yake ni ndogo kwani badala ya kufunga na kuomba kwa Mungu huenda akaenda kukutangaza kwa majirani!.

Kama una mfadhaiko wa akili (stress) ni vigumu sana wewe kuwa na nguvu za kiume. Hilo haliwezekani. Ili uwe na nguvu za kiume unatakiwa usiwe na mawazo mawazo yoyote. Uwe mtu uliyetulia kimwili, kiakili na kiroho (cool).

Jipekuwe na ujitambuwe ni kitu gani hasa kinakufanya uwe na mawazo mawazo kila mara na ufanye kila uwezalo kukiondoa hicho kinachokuletea stress kwenye maisha yako kila mara.

Stress nyingi kwa wanaume wa KiTanzania zinatokana na ugumu wa maisha, magomvi ya mara kwa mara kwenye mahusiano, magonjwa ambayo hayatibiki nk.

Haijalishi nini chanzo cha mawazo mawazo upande wako, ukiamua hakuna stress isiyo na tiba. Chimba tu inawezekana. Kuwa bize na mazoezi ya viungo kila siku ni namna nzuri ya kuondoa msongo wa mawazo.

Kama stress yako ni matokeo ya maisha magumu basi jipe moyo pia jipe muda hakuna usiku usio na mchana kuna siku tu utatoka kama hutakata tamaa. Pigana na upambane mpaka kieleweke kuna siku utaishi maisha bila stress ya umasikini.

Kuwa karibu na Mungu kila mara. Usiache kutafuta msaada wa kimawazo toka kwa wataalamu au watu wengine wenye uzoefu juu ya hali unayopitia.

Pia jikubali na umshukuru Mungu kwa kila jambo. Wakati mwingine unajiona una matatizo sababu hujakutana na wenye matatizo zaidi yako. Kuwa na moyo wa kuridhika kwa mambo madogo Mungu anayokupa. Hata kuamka salama tu ni baraka tosha unahitaji kushukuru Mungu.

Ridhika na hali na usonge mbele.

Chanzo namba 1 cha tatizo la nguvu za kiume kwa wanaume karibu wote ni msongo wa mawazo au stress kama inavyofahamika zaidi. Jambo la kushangaza ni kuwa mlonge ni dawa bora ya kuondoa stress nzuri ya asili isiyo na madhara mengine mabaya tofauti na zilivyo dawa zenye kemikali zinazotibu msongo wa mawazo.

Sasa kama una stress hizo nguvu za kiume zitatoka wapi ndugu?

Tafiti nyingi zimekuwa zikionyesha kuwa moja ya kisababishi kikubwa cha msongo wa mawazo (stress) ni kukosekana kwa viinilishe mhimu katika chakula.

Kukosekana huku kwa viinilishe mhimu katika chakula kunasababisha usawa usio sawa wa homoni mwilini (hormonal imbalance) jambo linalopelekea kutokea kwa msongo wa mawazo.

Msongo wa mawazo umeendelea kuwa tatizo kubwa kwa watu miaka ya sasa na wengi wao wakipatwa na tatizo la kukosa pia usingizi.

Hata hivyo, tatizo hilo linaweza kutibika kirahisi kwa kuongeza viinilishe sahihi kwenye mwili wako

Kwa bahati nzuri unga wa majani ya mlonge una viinilishe vingi kuliko mmea au mtishamba wowote chini ya jua ukiwa na viinilishe 92 ndani yake!

Unga wa majani ya mlonge una kiasi cha kutosha cha vitamini A, B, C, E, Potasiamu, Kalsiamu na viinilishe vingine vingi.

Kwahiyo kama utaweka mazoea ya kutumia mlonge kila siku itakuwa ni vigumu kwako kupata tatizo la msongo wa mawazo huku ukipata faida nyingine nyingi za mti huu wa ajabu

Kiasi kingi cha madini ya magnesiamu kwenye mlonge ni mhimu kutibu matatizo ya mifupa kwa wamama wanaofika ukomo wa siku zao (miaka 40 hivi kwenda juu).

Magnesiamu madini yapatikanayo kwenye mlonge ni dawa maarufu ya kutuliza akili (Tranquillizer) na kutibu matatizo kama msongo wa mawazo, sononeko, huzuni, hamaki na matatizo mengine ya mvurugiko wa akili.

Kijiko kidogo kimoja cha chai cha unga wa majani ya mlonge kinakutosha kwa siku ukitumia kwenye juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji au kwenye supu au kwenye mchuzi nk nk

Mlonge unaongeza kinga ya mwili:

Sasa kama kinga yako ya mwili haipo sawa je utapata wapi nguvu za kiume?

Kumbuka, ile hali ya kuonekana umezeeka au mwili wako kuonekana umechoka mara zote huwa kuna uhusiano wa moja kwa moja na kushuka kwa kinga yako ya mwili hali ambayo inauacha mwili wako kushambuliwa kirahisi na vijidudu nyemelezi na magonjwa mbalimbali.

Kama unataka kuishi vizuri kila siku basi jifunze namna kinga yako ya mwili inavyoweza kuongezwa kila siku kadri unavyoendelea kuishi.

Kinga ya mwili ni kile unachokula kila siku kimwili na kiroho. Kile unachokula kila siku ndicho kitakachoamua aina ya kinga ya mwili utakayokuwa nayo. Na ndiyo maana mara zote unatakiwa ule chakula kinachokufanya uishi na siyo kinachokufanya ushibe!

Sasa unaweza kuwa unajiuliza ni nini kinachoufanya mti wa mlonge mti huu wa ajabu kuwa kitu cha thamani SANA katika kuimarisha kinga yako ya mwili na hivyo kujikinga na vijidudu nyemelezi, homa na magonjwa mbalimbali?

Kwanza kabisa mlonge umebarikiwa kuwa na viinilishe vingi zaidi kuliko mti mwingine wowote chini ya jua ukiwa na viinilishe 92 ndani yake, una vitamini nyingi, madini na viondoa sumu mwilini tofauti tofauti 46! Huu ndiyo ukweli wa kustaajabisha wa mti huu unaoleta afya na maisha.

Kwahiyo nipe nafasi nikueleze kiundani kidogo kuhusu hivi viinilishe katika mti wa mlonge vinavyoufanya kuwa silaha kubwa katika vita yako ya kulinda kinga ya mwili wako na utaona ni kwanini habari hii uisomayo ni dhahabu katika maisha yako.

Watu wengi ukiwaambia kinga yangu inashuka lazima hawaataacha kukushauri upendelee kula machungwa, si ndiyo? Hili siyo jipya kwako. Habari mpya kwako ni kuwa mlonge una vitamini C mara 7 ZAIDI YA ILE INAYOPATIKANA KATIKA MACHUNGWA!

Na hivyo mlonge unabaki kuwa ndicho kitu pekee chenye nguvu ya kuondoa sumu mwilini kuwahi kutokea katika historia.

Vitamini C kama wote tujuavyo ni kitu mhimu katika kurejesha kinga ya mwili kwa sababu ni vitamini inayofanya kazi ya kuripea seli za mwili na kinga ya mwili. Zaidi sana vitamini C huimarisha ngozi ya mwili, nywele, fizi, macho na kuongeza nguvu ya jumla ya mwili kwa kuyataja machache mazuri ya vitamini C

Changanya matunda yote na mboga za majani zote bado viinilishe vyake kwa pamoja haviwezi kuvifikia vile vilivyomo kwenye mlonge! Ni kusema mtu aliyekula matunda na mboga za majani zote bado hatakuwa na afya bora kama yule atakayetumia mlonge tu. Maajabu yanaendelea …

Vitamini A ni moja ya vitamini zinazotajwa kuwa mhimu sana katika kuimarisha kinga ya mwili. Vitamini A ni mhimu kwa watu wanaosumbuliwa na matatizo kama ya kuharisha, upungufu wa kinga mwilini, surua na malaria.

Ukiwaambia watu una upungufu wa vitamini A au macho yako hayaoni vizuri mara zote watakuambia pendelea kula karoti, si ndiyo? Kile ulikuwa hufahamu ni kuwa MLONGE UNA VITAMINI A MARA 4 ZAIDI YA ILE ILIYOMO KWENYE KAROTI!

Vileviele madini ya chuma (Iron) ni kitu mhimu katika mfumo wa kinga ya mwili ambayo hukuwezesha usipatwe na magonjwa na homa mara kwa mara.

Ukiishiwa madini ya chuma mara nyingi utashauriwa ule sana spinachi. Habari njema kwako ni kuwa mlonge UNA MADINI YA CHUMA MARA 25 ZAIDI YA ILE ILIYOMO KWENYE SPINACHI. Unasemaje ndugu msomaji mpaka hapo! Una swali? Pia mlonge una beta-carotene.

Mlonge unaimarisha usawa wa himoglobini katika damu jambo ambalo matokeo yake ni kuimarika kwa kinga yako ya mwili.

Kwa kuongezea mlonge una lundo la vitamini kundi B kuliko mti au mmea mwingine wowote unaoufahamu. Mlonge una vitamini B, B1, B2, B3, B5, B6, B12, D, E, K, folic acid, Kalsiamu (mlonge una Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe), madini ya shaba, potasiamu, magnesia, kromiamu na vitamini, na madini madogo madogo mengine mengi mhimu kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili.

Mlonge pia una zile amino asidi mhimu 9 za kwenye protini. Elewa tu kwamba mti huu wa maajabu mti wa mlonge na majani yake mti ambao hujulikana pia kama mti wa uzima una viinilishe bora na mhimu zaidi kwa ajili ya kuongeza kinga ya mwili ambavyo siyo rahisi kuvielezea vyote kimoja baada ya kingine

Kwahiyo, kama unasumbuliwa na homa za mara kwa mara au unataka tu kuiweka kinga yako katika ubora wake wa juu kabisa, katika kipindi chochote cha mwaka, basi hakikisha nyumbani kwako hakukosekani unga wa majani ya mlonge kwa ajili yako, watoto wako na wale uwapendao

Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele.

Wakati unatumia mlonge unakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya (fresh) na mwenye nguvu. Watu wengi wanaotumia mlonge huwa ni wenye afya nzuri hata kwa muonekano tu hata wanapokuwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 90.

Matatizo mengi ya kiafya ni matokeo ya lishe yenye viinilishe duni au hafifu jambo linalopelekea kuwa na kinga ya mwili isiyo na nguvu kupigana na magonjwa mbalimbali.

Unaporekebisha usawa huo usio sawa wa kinga yako ya mwili kwa kutumia mimea mhimu ya asili hutakawia kuona matokeo mazuri kwenye afya yako.

Uwezo wa mti wa mlonge kuyaweza yote hayo ni kutokana na kuwa na vitamini, madini mbalimbali na viondowaji sumu vingi kuliko mmea mwingine wowote.

Wagonjwa wengi wenye UKIMWI katika sehemu nyingi za afrika magharibi wameripoti kuongezeka kiasi kikubwa cha kinga zao za mwili kiasi cha kutokuhitaji dawa baada ya kutumia mlonge.

Hakika kuna siku utakuja kunishukuru kwa maelezo haya ya bure!

Kuongeza kinga yako ya mwili ukitumia unga wa majani ya mlonge anza na kutumia kijiko kidogo kimoja cha chai cha unga wa majani ya mlonge kutwa mara 1 ukitumia kwenye juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji au kwenye mtindi au kwenye asali.

Pole pole unaweza kuongeza kiasi mpaka kijiko kikubwa cha chakula kimoja kwa siku kutegemea na afya yako inavyoitika. Wasiliana pia na daktari wako wa karibu kabla ya kuanza kutumia mlonge ikiwa wewe ni mjamzito au una shinikizo la chini la damu.

Hii ndiyo sababu waNigeria waliuita mlonge kwa jina la utani kama “Nebedaya”, ambalo maana yake ni mti USIOKUFA!

Usiahau pia kunywa maji ya kutosha kila siku, kufanya mazoezi ya viungo na kuwa na afya njema kiroho ili kuwa na kinga imara ya mwili wako

Mlonge una madini na vitamini zote mhimu kwa ajili ya nguvu za kiume:

Mlonge una madini ya Zinki madini ambayo ni mhimu sana linapokuja suala la nguvu za kiume. Bado mlonge una protini ya kutosha, protini ni mhimu katika suala zima la nguvu ya mwili

Vitamini nyingine mhimu kwa ajili ya nguvu za kiume zilizomo kwenye mlonge ni pamoja na vitamini B6, B12, D na E

Mlonge unatoa sumu mwilini:

Chanzo kingine cha kupungua nguvu za kiume miaka ya sasa ni sumu nyingi mwilini sababu ya vilevi na vyakula tunavyokula kila siku. Habari njema ni kuwa hakuna sumu inaweza kubaki salama mbele ya mlonge.

Kwa hiyo ni vigumu mtu utumie mlonge halafu bado uwe huna nguvu kitandani kama samba.

Mlonge unaongeza msukumo wa damu:

Mwanzoni kule juu tuliona namna mzunguko na msukumo wa damu ulivyo wa mhimu katika kutibu tatizo la nguvu za kiume. Kwa ajili hii watu hushauri kunywa maji na kufanya mazoezi ya viungo kila siku. Jambo la ajabu ni kuwa hiyo kazi ya kuongeza msukumo wa damu sehemu zote za mwili ni kazi ya mlonge.

Bado sijaona ni namna gani mlonge utashindwa kukutibu tatizo lako la nguvu za kiume

Mlonge ni dawa kwa magonjwa yaletayo upungufu wa nguvu za kiume:

Magonjwa kama vidonda vya tumbo, shinikizo la juu la damu, kisukari na uzito kupita kiasi ni chanzo kikuu cha tatizo la nguvu za kiume na wanaume wengi mtakuwa mashahidi katika hili.

Jambo la kushangaza magonjwa hayo yote yanatibika kwa kutumia mlonge bila shida yoyote.

Jaribu mlonge na uniletee mrejesho

Kazi inabaki kuwa kwako tu kuanzia sasa   …

Usiahau pia kunywa maji ya kutosha kila siku, kufanya mazoezi ya viungo na kuwa na afya njema kiroho

No comments:

Post a Comment