ISIKUPITE

Blogroll

Friday, 14 September 2018

UTAFITI: INAONYESHA KWAMBA KUKARIBIANA KWETU KIMAHUSIANO KUNAANZIA KWENYE HARUFU

Utafiti uliofanywa nchini Switzerland umeonyesha kwamba mara mwanaume na mwanamke wanapoonana kwa mara ya kwanza na mmoja kuvutiwa na mwingine au wote kuvutiwa, huwa kunakuwa na harufu kutoka kwenye “genes” zao ambapo kama “genes” hizo zinaendana au zinafanana kila mmoja atahisi harufu mbaya toka kwa mwenzake na hivyo kupunguza uwezekano wa kuanza mahusiano kwasababu ya kukwepana na iwapo “genes” zinatofautiana“dissimilar” watahisi harufu nzuri na hivyo kuzidi kukaribiana. Sasa labda unapompenda au kuvutiwa naye halafu akaanza kukuepuka, kukukwepa au kukuchukia gafla hatakama hamjaongea naye sana unaweza kukuta kasha hisi harufu mbaya toka kwako hata kama yeye mwenyewe hajui kinachomkimbiza – Chris Mauki

No comments:

Post a Comment